Simba 2-0 Polisi Tanzania | Angalia highlights Chama akifanya maajabu yake - VPL 09/12/2020

2 Просмотры
Издатель
Clatous Chota Chama ametumia dakika 30 pekee kuipa Simba ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Chama amefunga mabao hayo pekee dakika ya 64 na 90. Haya hapa magoli yenyewe.


Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Категория
Боевики онлайн
Комментариев нет.
Яндекс.Метрика